Mzalishaji wa miziki (PRODUCER ) Maarufu kama Clever The  Beat Atowa ofa kwa wasanii wa muziki wote kutoka Zanzibar na Njee ya Zanzibar


Akizungumza na TUNAWEZA FM ndugu Saidi Abdallah Abillah Akisema ; Ndani ya Mwaka huu 2025 Amejitolea kwa wazanzibar wote kuwa saidia na kuwainuwa kimziki wote na kuhakikishia  kuipata kazi yako kwa mda mfupi 



Aidha Akiendelea kusema ndugu Saidi Abdalla Abillah ;Ameweza kusaidia watu wingi sana ndani ya kisiwa cha  zanzibar na Nje ya Zanzibar na wengine kupata umarufu mkubwa kupitia nyimbo zake miongoni mwa wasanii aliyowasaidia , chabi six ,Ricco single na wengineo wengi.