Mkurugezi wa Taasisi ya Tunaweza Mh; Mohammed Thani Hoshil Awatakia kheri ya Mwaka mpya 2025 Watanzania wote na kuendelea kufatilia Burudani zetu tunazozifanya kwenye Taasisi ya Tunaweza.
Akizungumza na TUNAWEZA FM, Mh ; Mohammed Thani Hoshil, Akisema; Mwaka huu mpya 2025 Tumejipanga vizuri kuzidisha Filamu na Kaswida zetu zaidi na zaidi nakuhakikisha unafurahi kupitia Taasisi hii ya Tunaweza Arts Group
Nae Msanii wa Tunaweza Arts Group ,Ndugu Abrahmani Moh'd (KIDUNDO) ,Amesema : Ujio wa mwaka mpya 2025 Atahakikisha wafatiliaji wake wakazi za Filamu wataburudika zaidi na zaidi kupitia kazi zake za Fulamu
Aidha,Nae Msanii wa muziki wa Tunaweza Arts Group, Ndugu ,Aisha Haji (ISHA One) Amesema; Kuja kwa huu Mwaka mpya 2025 Wafuatiliaji wote wa Taasisi yetu wasubirie vidio nzuri za ngoma zetu zote zilizorikodiwa kwenye Taasisi hiyo
Aidha nao; Wazalishaji wa muziki (PRODUCERS) Saidi Abdalla na Dominic Imanuel: Akisema watahakikisha kuendeleza kuzalisha miziki mizuri na yenye utafauti wa kipekee na sio yenye kuzoeleka na jamii yetu ya sas kwa lengo la kujitofautisha baina ya watu wengine.
0 Comments