HABARI

6/recent/ticker-posts

MASHARTI YA MWANAMKE ( RAMADHAN CLIP).


HABARI YAKO MTANZANIA. Taasisi ya TUNAWEZA ARTS GROUP leo hii Tarehe 13-03-2025 imeachilia Clip ya Ramadhani ikiwa inamafundisho Mazuri ,Mafundisho hayo yamelenga sana kwa upande wa Wanawake wa zamahizi {WATOTO WA  MJINI} kutochaguwa vyakula ndani ya Maishani Mwao Kwasababu hali ya utafutaji riski huwa mgumu inapaswa kurizika na atakacho kileta Mume  ENJOY NA  UJIFUNZE ZAIDI.

 

Post a Comment

0 Comments