HABARI

    Loading......

WATOTO WA DADA FILM FULL MOVIE.


Filamu hii inaitwa WATOTO WA  DADA  inamafunzo Mazuri miongoni mwa Mafundisho hayo ni ;


1) TUWALINDE WATOTO KUTOTOKA MARA KWA MARA  MAJUMBANI KWETU HUPELEKEA MATATIZO MAKUBWA USIYOYATARAJIA NA UKAJAUKAJUTIA.

2)UNAPO MUONA MWENZAKO ANAKOSEA MUELEWESHE KWA NJIA NZURI NA SIO KUMNADIA 

3)WATOTO WA KIKE TUKAE MAJUMBANI KWETU NA TUWASAIDIE MAMA ZETU NA SIO KUZURURA KATIKA KIPINDI CHA MFUNGO WA RAMADHANI.

 

Post a Comment

0 Comments