Karibu Ukaribie upate Futari nzuri na matunda mbali mbali yatakayokujenga mwili kwa bei zetu nzuri .Tunapatikana Round About ya mombasa njia ya kuendea MAUNGANI Zanzibar .
kwa msimu huu wa ramadhani tumetowa punguzo kubwa ya asilimia 25% na utafurahi sana kwa huduma zetu . Mimi naitwa OTHMAN MAFRUIT . Wasiliana nami kupitia namba yangu 0778241061
0 Comments