HABARI

6/recent/ticker-posts

SALE ...SALE ...BIDHAA ZA MWANI.


Kikundi cha NA SISI TUPO  Kiliopo Bwejuu Zanzibar ,Kinakutangazia kuwa wamekutengezea Bidhaa mbali mbali zitokanazo na MWANI , kama vile MAFUTA YA MWANI , SABUNI ZA MWANI , JIKI ZA MWANI na bidha nyingi sana zitokanazo na MWANI kwa bei rahisi sana JUMLA na REJA REJA.


Bidhaa zetu hizi za MWANI ni bidhaa nzuri zenye kutibu maradhi mbali mbali kama vile CHUNUSI USONI , VIPELE KWAPANI , NGOZI YAKO KUFANYIKA YA UREMBO, NYWELE ZAKO KUWA NZURI  n.k



Bidhaa zetu hizi za MWANI hutumiwa na watu 80% na watu huwasaidia sana katika maisha yao, JE WEWE UMESHAWAHI KUTUMIA BIDHAA ZETU, JARIBU LEO UPATEMAJIBU .

Wasiliana nasi kupitia  namba zetu :

0773993689 ......................... MWENYEKITI WA KIKUNDI

0773779989......................................KATIBU WA KIKUNDI



NYOTE MUNAKARIBISHWA.






 

Post a Comment

0 Comments