HABARI

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU WA TANZANIA AFARIKI DUNIA LEO.


 Rais Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa kifo cha Mzee Cleopa David Msuya, aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania na Waziri Mkuu, kilichotokea leo Mei 7, 2025 majira ya saa tatu asubuhi katika Hospitali ya Mzena, jijini Dar es Salaam.

Mzee Msuya alikuwa anasumbuliwa na tatizo la moyo kwa kipindi kirefu sana tokea katika majukumu yake ya kazi na kufanyiwa matibabu na kupata uafadhani na kuendelea na majukumu ya kuongoza jamii  

 Aidha Mzee Msuya alikuwa kiongozi mchapa kazi na msikivu kwa watu wake na kuhakikisha Tanzania inafikia malengo makubwa,Mungu ailazepahalapema peponi Amin. 

Post a Comment

0 Comments