HABARI

6/recent/ticker-posts

CHEKA UNENEPE ......FILAMU MPYA 2025.



Habari Mtanzania. TUNAWEZA ARTS GROUP Imeachilia Video ya COMEDY Ambayo itakuelimisha na kukuchekesha ndani ya COMEDY hii kunawasanii wazoefu na wenye uweledi mkubwa wa kumshawishi Hadhira Afurahi kama vile KAMANDA TOLI , ISHA ONE na KIDUNDO .

                                                               MAFUNZO YA COMEDY

1)  Unapotembea Majiani Tunapaswa Tuwemakini kwasababu majiani kunamambo mengi.

 2) Ukizarau familia ya kwenu yatakukuta makubwa na utajuta kuzaliwa na kuja duniani.

3)  Utapeli  haufai katika maisha ya mwanaadamu na kuibukia kuzalilika.


Kama wewe ni Mdau wa TUNAWEZA ARTS GROUP Tunaomba utusapoti Filamu hii ifike kwa watu mbali mbali ili wajifunze zaidi kupitia Video hii .


                                                                AHSANTE.

 
 

Post a Comment

0 Comments