HABARI

6/recent/ticker-posts

Isha one ft Babi wakiperform "LIVE" kwenye kampeni ya chama cha mapinduzi (CCM).


Wasanii wa Taasisi ya  TUNAWEZA ARTS GROUP Isha one na Babi wakiburudisha katika kampeni ya chama cha mapinduzi (CCM)  leo tarehe 27-09-2025, Unguja.

Kama wewe ni mwanachama unayetupenda na kutufatilia tunaomba sambaza link zetu na kusabucribe tavuti zetu .

Sisi tupo wa lengo la Kukuhabarisha na kukuburudisha juu ya kila kinachofanyika katika ulimwengu wetu. 




 

Post a Comment

0 Comments