TUTAONESHA VIPAJI VYETU KESHO.
Habari yako mtanzania , Uongozi wa Taasisi ya TUNAWEZA ARTS GROUP unakutaarifu kuwa imeandaa show ya kipekee maeneo ya LANGONI,MAUNGANI,UNGUJA kwa ajili ya maonesho ya Sanaa Katika kipindi kizima cha Sikukuu na pia tumekuandalia sanaa mbali mbali kama vile :Islamic Film
Live comedy
Mazingaombwe
Live Kaswida n,k
Maonesho yetu yataanza saa 9:00 jion na kumaliza saa 5:30 usiku.Tunakusihi fika mapema ili upate tiketi yako mapema . AHSANTENI NA TUNAWAPENDA SANA.

0 Comments