Habari, Mfuatiliaji wetu, Taasisi ya TUNAWEZA ARTS GROUP leo Tarehe 4-3-2026 Imekuletea Historia fupi ya Raisi Ali Khamenei Kiongozi Mahiri na anayeipenda Nchi yake ya IRAN.
Sikiliza sasa ili upatemengi juu ya kiongozi huyo.
#SISI NI TUNAWEZA ARTS GROUP tunakupenda na kukujali na ndio mana tunakuletea kila kinachojiri ndani ya #DUNIA yetu ya #TEKNOLOJIA.

0 Comments