UGANDA: SERIKALI ya Uganda imetangaza kuwa idadi ya watu walioambukizwa ugonjwa wa Ebola imefikia watu tisa kwa sasa na wengine hufanya shuhuli zao za kawaida bila ya kuumwa ungonjwa wa ebola

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wizara ya afya ya nchi hiyo imesema ; wagonjwa 7 kati ya 9 wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali moja iliyopo mjini Kampala na wagonjwa 2  wamelazwa katika hospitali ya mji wa mashariki wa Mbale karibu na mpaka wa Kenya.

Aidha SERIKALI ya uganda imepambana  kwa ujio wa ugonjwa wa ebola kwenye nchi yao kwa asilimia 99.5 tokea kubainika wagonjwa 265 na kupelekea kushuka kwa uchimi Wagonjwa waliopona bado wameshikiliwa na kuwekwa karantini

Hivi sasa Uganda inatoa chanjo ya majaribio dhidi ya kirusi cha Ebola kilichoanzia nchini  Sudan.Chanjo ya Ebola iliidhinishwa kutumika na Shirika la Afya Duniani –WHO , mwezi uliopita.

.